#wa Instagram Photos & Videos

wa - 3376144 posts

Latest Instagram Posts

 • ellizelily99_mci - ellize @ellizelily99_mci 6 minutes ago
 • #copas

Asma itu sakitnya bener2 capek dan lemes ke badan.... BIOGLASS terapi untuk ASMA

Siapa tau ada yg sakit asma...sudah lama bahkan bertahun2 bergantung dengan obat2an dan inhalller...
Coba terapi dg #Bioglass dan LSW
Kesembuhan datangnya dr Tuhan, tp manusia wajib berikhtiar ๐Ÿ˜Š

Salam sehat

More info : 
Ellize
#WA : 089-2385-8089

Better Life With MCI #copas Asma itu sakitnya bener2 capek dan lemes ke badan.... BIOGLASS terapi untuk ASMA Siapa tau ada yg sakit asma...sudah lama bahkan bertahun2 bergantung dengan obat2an dan inhalller... Coba terapi dg #bioglass dan LSW Kesembuhan datangnya dr Tuhan, tp manusia wajib berikhtiar ๐Ÿ˜Š Salam sehat More info : Ellize #wa : 089-2385-8089 Better Life With MCI
 • #copas Asma itu sakitnya bener2 capek dan lemes ke badan.... BIOGLASS terapi untuk ASMA Siapa tau ada yg sakit asma...sudah lama bahkan bertahun2 bergantung dengan obat2an dan inhalller... Coba terapi dg #bioglass dan LSW Kesembuhan datangnya dr Tuhan, tp manusia wajib berikhtiar ๐Ÿ˜Š Salam sehat More info : Ellize #wa : 089-2385-8089 Better Life With MCI
 • 0 0
 • islamic_diin - Human being isn't perfect. @islamic_diin 16 minutes ago
 • .
#Tunapenda kuwajuza ndugu zetu popote walipo kwamba mtu anapofariki haipasi kuhamishwa maiti kupelekewa nchi nyingine ila ikiwa kuna sababu maalumu.
.
Hakuna mwenye kujua wapi atafariki, ardhi yote ni ardhi ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Ambaye Ametueleza kuwa:
.
((Na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho.
Wala nafsi yoyote haijui itafia nchi gain)).
[Luqmaan: 34].
.
#Sunnah ilivyokuwa wakati wa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake ni kumzika aliyefariki katika makaburi ya mji huo aliofariki.
.
Mashuhadaa walizikwa sehemu ile ile waliyofariki.
.
Hakuna dalili yoyote au usimulizi kwamba Maswahaba au Salafus Swaalih (Wema Waliotangulia) waliwahamisha watu wao waliofariki kuwazika miji mingine au nchi zingine.
.
Kwa sababu hii Maulamaa wengi wamekataza jambo hili ila tu ikiwa kuna sababu au dharura maalumu mfano; kama kuna khofu ya kuwa kaburi litatendwa vibaya hapo itakuwa ni bora kumzika sehemu ambako atasalimika na uovu wowote.
.
Vilevile zikiwa gharama za kuzikia maeneo hayo kama ilivyo huko Ulaya, Marekani na Japan, na akawa mtu huyo hana gharama hizo au hakuweza kupata msaada wowote kutoka kwa Waislam walio sehemu hizo, na kukawa kuisafirisha maiti ile ni nafuu mno kuliko kuizikia pale na hali hana uwezo, basi kwa hali hiyo Maulamaa wamejuzisha hali hiyo kwa dharura hiyo.
.
Hivyo ataangukia kwenye 'Mudhwtwarr' (asiye na budi).
[Al-Baqarah: 173].
.
Hivi ni kumhifadhi maiti kutokana na mateso na usumbufu wakati anatayarishwa na kufanyiwa maandalizi maiti kwa ajili ya kumsafirisha, na pia kujiepusha na taklifu kubwa za kifedha zinazowakabili watu kwa jambo ambalo halikuwekwa katika sheria.
.
#Kuhusu_Kumsafirisha :
.
Anasema Mtume (Swalla Allaahu โ€˜alayhi wa aalihi wa sallam):
.
โ€œ Harakisheni jeneza, akiwa ni mtu mwema, basi ni kheri mnayoitanguliza kwake, na akiwa ni kinyume chake (muovu) basi hiyo ni shari (mliyoibeba ambayo mnatakiwe haraka) muishushe kutoka katika shingo zenuโ€
[Al-Bukhaariy na Muslim na wengneo].
.
Kuzikwa mtu mji wake hakutamsaidia maiti lolote katika kumzidishia mema kwenye kitabu chake wala haitomsaidia lolote kaburini, bali ni amali zake ndizo zitakazomfaa.
.
#Wa Allaahu Al'am. . #tunapenda kuwajuza ndugu zetu popote walipo kwamba mtu anapofariki haipasi kuhamishwa maiti kupelekewa nchi nyingine ila ikiwa kuna sababu maalumu. . Hakuna mwenye kujua wapi atafariki, ardhi yote ni ardhi ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Ambaye Ametueleza kuwa: . ((Na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho. Wala nafsi yoyote haijui itafia nchi gain)). [Luqmaan: 34]. . #sunnah ilivyokuwa wakati wa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake ni kumzika aliyefariki katika makaburi ya mji huo aliofariki. . Mashuhadaa walizikwa sehemu ile ile waliyofariki. . Hakuna dalili yoyote au usimulizi kwamba Maswahaba au Salafus Swaalih (Wema Waliotangulia) waliwahamisha watu wao waliofariki kuwazika miji mingine au nchi zingine. . Kwa sababu hii Maulamaa wengi wamekataza jambo hili ila tu ikiwa kuna sababu au dharura maalumu mfano; kama kuna khofu ya kuwa kaburi litatendwa vibaya hapo itakuwa ni bora kumzika sehemu ambako atasalimika na uovu wowote. . Vilevile zikiwa gharama za kuzikia maeneo hayo kama ilivyo huko Ulaya, Marekani na Japan, na akawa mtu huyo hana gharama hizo au hakuweza kupata msaada wowote kutoka kwa Waislam walio sehemu hizo, na kukawa kuisafirisha maiti ile ni nafuu mno kuliko kuizikia pale na hali hana uwezo, basi kwa hali hiyo Maulamaa wamejuzisha hali hiyo kwa dharura hiyo. . Hivyo ataangukia kwenye 'Mudhwtwarr' (asiye na budi). [Al-Baqarah: 173]. . Hivi ni kumhifadhi maiti kutokana na mateso na usumbufu wakati anatayarishwa na kufanyiwa maandalizi maiti kwa ajili ya kumsafirisha, na pia kujiepusha na taklifu kubwa za kifedha zinazowakabili watu kwa jambo ambalo halikuwekwa katika sheria. . #kuhusu_kumsafirisha : . Anasema Mtume (Swalla Allaahu โ€˜alayhi wa aalihi wa sallam): . โ€œ Harakisheni jeneza, akiwa ni mtu mwema, basi ni kheri mnayoitanguliza kwake, na akiwa ni kinyume chake (muovu) basi hiyo ni shari (mliyoibeba ambayo mnatakiwe haraka) muishushe kutoka katika shingo zenuโ€ [Al-Bukhaariy na Muslim na wengneo]. . Kuzikwa mtu mji wake hakutamsaidia maiti lolote katika kumzidishia mema kwenye kitabu chake wala haitomsaidia lolote kaburini, bali ni amali zake ndizo zitakazomfaa. . #wa Allaahu Al'am.
 • . #tunapenda kuwajuza ndugu zetu popote walipo kwamba mtu anapofariki haipasi kuhamishwa maiti kupelekewa nchi nyingine ila ikiwa kuna sababu maalumu. . Hakuna mwenye kujua wapi atafariki, ardhi yote ni ardhi ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Ambaye Ametueleza kuwa: . ((Na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho. Wala nafsi yoyote haijui itafia nchi gain)). [Luqmaan: 34]. . #sunnah ilivyokuwa wakati wa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake ni kumzika aliyefariki katika makaburi ya mji huo aliofariki. . Mashuhadaa walizikwa sehemu ile ile waliyofariki. . Hakuna dalili yoyote au usimulizi kwamba Maswahaba au Salafus Swaalih (Wema Waliotangulia) waliwahamisha watu wao waliofariki kuwazika miji mingine au nchi zingine. . Kwa sababu hii Maulamaa wengi wamekataza jambo hili ila tu ikiwa kuna sababu au dharura maalumu mfano; kama kuna khofu ya kuwa kaburi litatendwa vibaya hapo itakuwa ni bora kumzika sehemu ambako atasalimika na uovu wowote. . Vilevile zikiwa gharama za kuzikia maeneo hayo kama ilivyo huko Ulaya, Marekani na Japan, na akawa mtu huyo hana gharama hizo au hakuweza kupata msaada wowote kutoka kwa Waislam walio sehemu hizo, na kukawa kuisafirisha maiti ile ni nafuu mno kuliko kuizikia pale na hali hana uwezo, basi kwa hali hiyo Maulamaa wamejuzisha hali hiyo kwa dharura hiyo. . Hivyo ataangukia kwenye 'Mudhwtwarr' (asiye na budi). [Al-Baqarah: 173]. . Hivi ni kumhifadhi maiti kutokana na mateso na usumbufu wakati anatayarishwa na kufanyiwa maandalizi maiti kwa ajili ya kumsafirisha, na pia kujiepusha na taklifu kubwa za kifedha zinazowakabili watu kwa jambo ambalo halikuwekwa katika sheria. . #kuhusu_kumsafirisha : . Anasema Mtume (Swalla Allaahu โ€˜alayhi wa aalihi wa sallam): . โ€œ Harakisheni jeneza, akiwa ni mtu mwema, basi ni kheri mnayoitanguliza kwake, na akiwa ni kinyume chake (muovu) basi hiyo ni shari (mliyoibeba ambayo mnatakiwe haraka) muishushe kutoka katika shingo zenuโ€ [Al-Bukhaariy na Muslim na wengneo]. . Kuzikwa mtu mji wake hakutamsaidia maiti lolote katika kumzidishia mema kwenye kitabu chake wala haitomsaidia lolote kaburini, bali ni amali zake ndizo zitakazomfaa. . #wa Allaahu Al'am.
 • 27 0
 • ipankbroo18 - IpankBroo.18 โš–๏ธLibraโš–๏ธ @ipankbroo18 43 minutes ago
 • #ForSale: 
Jawa 250cc Th61 Standar Ori Hidup Normal Dan Ada BPKB Aja Tempelan Plat E.. #Wa 081262862890 #forsale: Jawa 250cc Th61 Standar Ori Hidup Normal Dan Ada BPKB Aja Tempelan Plat E.. #wa 081262862890
 • #forsale: Jawa 250cc Th61 Standar Ori Hidup Normal Dan Ada BPKB Aja Tempelan Plat E.. #wa 081262862890
 • 9 0
 • islamic_diin - Human being isn't perfect. @islamic_diin 1 hour ago
 • #KULISHA_MASKINI_60.
.
Kulisha masikini kwa idadi yoyote ni amali njema na Allaah ๏บณ๏บ’๏บค๏บŽ๏ปง๏ปช ๏ปญ๏บ—๏ปŒ๏บŽ๏ปŸ๏ปฐ Amesisitiza sana katika Qur-aan kulisha masikini na atakayefanya hivyo basi atapata thawaabu zake.
.
Ama idadi ya kulisha masikini 60 haikutajwa kuwa khaswa ina fadhila fulani ila tu imekuja hukumu ya Kafara ya 'Adh-Dhwihaar' ambayo inatoka katika neno la 'Adh-Dhwahr' yaani mgongo.
.
Ilikuwa katika zama za Jaahiliyyah (zama za ujinga, kabla ya Uislamu) mume humuambia mkewe "Umekuwa kwangu kama mgongo wa mama yangu". Na ilikuwa ndio njia mojawapo ya kutoa Talaka wakati huo.
.
Na Allaah ๏บณ๏บ’๏บค๏บŽ๏ปง๏ปช ๏ปญ๏บ—๏ปŒ๏บŽ๏ปŸ๏ปฐ Ameruhusu Ummah huu wa Kiisalmu kulipa Kafara kwa kauli hii na haihesabiki kama ni talaka kinyume na ilivyo katika Ujaahiliyyah.
Kafara hii imetajwa katika aya zifautazo ambazo ziliteremshwa baada ya Bibi Khuwaylah bint Tha'alabah kumshtakia Mtume ๏บป๏ป ๏ปฐ ๏บ๏ปŸ๏ป ๏ปช ๏ป‹๏ป ๏ปด๏ปช ๏ปญ๏บ๏ปŸ๏ปช ๏ปญ๏บณ๏ป ๏ปข kwamba mumewe 'Aws bin As-Swaamit amemwambia kauli hiyo ya Adh-Dhwihaar :
.
((Allaah Amekwisha sikia usemi wa mwanamke anayejadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia Allaah. Na Allaah anayasikia majibizano yenu. Hakika Allaah ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona)).
.
((Wale miongoni mwenu wanaowatenga wake zao, hao si mama zao. Hawakuwa mama zao ila wale waliowazaa. Na hakika hao wanasema neno linalo chusha, na la uwongo. Na Allaah ni Mwenye kughufiria, Mwenye kusamehe)).
.
((Na wale wanaojitenga na wake zao, kisha wakarudia katika yale waliyoyasema, basi wamkomboe mtumwa kabla hawajagusana. Mnapewa maonyo kwa hayo. Na Allaah anayajua yote mnayo yatenda.
.
((Na asiyepata mtumwa kumkomboa, basi na afunge miezi miwili mfululizo kabla hawajagusana. Na asiyeweza hayo basi awalishe masikini sitini. Hayo ni hivyo ili mumuamini Allaah na Mtume wake. Na hiyo ndiyo mipaka ya Allaah. Na kwa makafiri iko adhabu chungu))
[ Al-Mujaadalah :1-4 ].
.
#Wa Allaahu A'alam. #kulisha_maskini_60. . Kulisha masikini kwa idadi yoyote ni amali njema na Allaah ๏บณ๏บ’๏บค๏บŽ๏ปง๏ปช ๏ปญ๏บ—๏ปŒ๏บŽ๏ปŸ๏ปฐ Amesisitiza sana katika Qur-aan kulisha masikini na atakayefanya hivyo basi atapata thawaabu zake. . Ama idadi ya kulisha masikini 60 haikutajwa kuwa khaswa ina fadhila fulani ila tu imekuja hukumu ya Kafara ya 'Adh-Dhwihaar' ambayo inatoka katika neno la 'Adh-Dhwahr' yaani mgongo. . Ilikuwa katika zama za Jaahiliyyah (zama za ujinga, kabla ya Uislamu) mume humuambia mkewe "Umekuwa kwangu kama mgongo wa mama yangu". Na ilikuwa ndio njia mojawapo ya kutoa Talaka wakati huo. . Na Allaah ๏บณ๏บ’๏บค๏บŽ๏ปง๏ปช ๏ปญ๏บ—๏ปŒ๏บŽ๏ปŸ๏ปฐ Ameruhusu Ummah huu wa Kiisalmu kulipa Kafara kwa kauli hii na haihesabiki kama ni talaka kinyume na ilivyo katika Ujaahiliyyah. Kafara hii imetajwa katika aya zifautazo ambazo ziliteremshwa baada ya Bibi Khuwaylah bint Tha'alabah kumshtakia Mtume ๏บป๏ป ๏ปฐ ๏บ๏ปŸ๏ป ๏ปช ๏ป‹๏ป ๏ปด๏ปช ๏ปญ๏บ๏ปŸ๏ปช ๏ปญ๏บณ๏ป ๏ปข kwamba mumewe 'Aws bin As-Swaamit amemwambia kauli hiyo ya Adh-Dhwihaar : . ((Allaah Amekwisha sikia usemi wa mwanamke anayejadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia Allaah. Na Allaah anayasikia majibizano yenu. Hakika Allaah ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona)). . ((Wale miongoni mwenu wanaowatenga wake zao, hao si mama zao. Hawakuwa mama zao ila wale waliowazaa. Na hakika hao wanasema neno linalo chusha, na la uwongo. Na Allaah ni Mwenye kughufiria, Mwenye kusamehe)). . ((Na wale wanaojitenga na wake zao, kisha wakarudia katika yale waliyoyasema, basi wamkomboe mtumwa kabla hawajagusana. Mnapewa maonyo kwa hayo. Na Allaah anayajua yote mnayo yatenda. . ((Na asiyepata mtumwa kumkomboa, basi na afunge miezi miwili mfululizo kabla hawajagusana. Na asiyeweza hayo basi awalishe masikini sitini. Hayo ni hivyo ili mumuamini Allaah na Mtume wake. Na hiyo ndiyo mipaka ya Allaah. Na kwa makafiri iko adhabu chungu)) [ Al-Mujaadalah :1-4 ]. . #wa Allaahu A'alam.
 • #kulisha_maskini_60. . Kulisha masikini kwa idadi yoyote ni amali njema na Allaah ๏บณ๏บ’๏บค๏บŽ๏ปง๏ปช ๏ปญ๏บ—๏ปŒ๏บŽ๏ปŸ๏ปฐ Amesisitiza sana katika Qur-aan kulisha masikini na atakayefanya hivyo basi atapata thawaabu zake. . Ama idadi ya kulisha masikini 60 haikutajwa kuwa khaswa ina fadhila fulani ila tu imekuja hukumu ya Kafara ya 'Adh-Dhwihaar' ambayo inatoka katika neno la 'Adh-Dhwahr' yaani mgongo. . Ilikuwa katika zama za Jaahiliyyah (zama za ujinga, kabla ya Uislamu) mume humuambia mkewe "Umekuwa kwangu kama mgongo wa mama yangu". Na ilikuwa ndio njia mojawapo ya kutoa Talaka wakati huo. . Na Allaah ๏บณ๏บ’๏บค๏บŽ๏ปง๏ปช ๏ปญ๏บ—๏ปŒ๏บŽ๏ปŸ๏ปฐ Ameruhusu Ummah huu wa Kiisalmu kulipa Kafara kwa kauli hii na haihesabiki kama ni talaka kinyume na ilivyo katika Ujaahiliyyah. Kafara hii imetajwa katika aya zifautazo ambazo ziliteremshwa baada ya Bibi Khuwaylah bint Tha'alabah kumshtakia Mtume ๏บป๏ป ๏ปฐ ๏บ๏ปŸ๏ป ๏ปช ๏ป‹๏ป ๏ปด๏ปช ๏ปญ๏บ๏ปŸ๏ปช ๏ปญ๏บณ๏ป ๏ปข kwamba mumewe 'Aws bin As-Swaamit amemwambia kauli hiyo ya Adh-Dhwihaar : . ((Allaah Amekwisha sikia usemi wa mwanamke anayejadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia Allaah. Na Allaah anayasikia majibizano yenu. Hakika Allaah ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona)). . ((Wale miongoni mwenu wanaowatenga wake zao, hao si mama zao. Hawakuwa mama zao ila wale waliowazaa. Na hakika hao wanasema neno linalo chusha, na la uwongo. Na Allaah ni Mwenye kughufiria, Mwenye kusamehe)). . ((Na wale wanaojitenga na wake zao, kisha wakarudia katika yale waliyoyasema, basi wamkomboe mtumwa kabla hawajagusana. Mnapewa maonyo kwa hayo. Na Allaah anayajua yote mnayo yatenda. . ((Na asiyepata mtumwa kumkomboa, basi na afunge miezi miwili mfululizo kabla hawajagusana. Na asiyeweza hayo basi awalishe masikini sitini. Hayo ni hivyo ili mumuamini Allaah na Mtume wake. Na hiyo ndiyo mipaka ya Allaah. Na kwa makafiri iko adhabu chungu)) [ Al-Mujaadalah :1-4 ]. . #wa Allaahu A'alam.
 • 127 2